Uhaba wa maji na juhudi za upatikanaji wake Tanzania
Dunia ikiwa imedhimisha siku ya maji hivi karibuni, huduma hiyo imekuwa haba kwa baadhi ya maeneo mathalani mkoani Mbeya nchini Tanzania ambapo wananchi wanalalama kutokana na ukosefu wa maji.
Dunia ikiwa imedhimisha siku ya maji hivi karibuni, huduma hiyo imekuwa haba kwa baadhi ya maeneo mathalani mkoani Mbeya nchini Tanzania ambapo wananchi wanalalama kutokana na ukosefu wa maji.
Mbinu ya mtaala wa ukatili dhidi ya wanawake imeleta mabadiliko makubwa nchini Kenya amesema Veronica Shiroya kutoka taasisi ya kimataifa ya miongozo kwa wasichana WAGGSS nchini humo.
Angola inakabiliwa na mlipuko wa homa ya manjano ambayo imeathiri watu Zaidi ya 450 na kukatili maisha ya watu 178, ikiwa ni mlipuko wa kwanza wa ugonjwa huo kulikumba taifa hilo katika kipindi cha miaka 30.
Mashariki mwa jamhuri ya Kidemokrasia ya congo (DRC), majanga ya hali ya hewa yanaua zaidi kuliko magonjwa kama kipindupindu, imesema leo Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu OCHA.
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu, Zeid Ra’ad Al Hussein, ameeleza kutiwa wasiwasi mkubwa na makubaliano ya hivi karibuni kati ya Muungano wa Ulaya, EU na Uturuki, akisema makubaliano hayo yanaenda kinyume na kiini chake, na kuzua hofu kuhusu uzuiliaji holela wa wakimbizi na wahamiaji.
Kamishina mkuu wa Umoja wa mataifa wa haki za binadamu Zeid Ra’ad Al Hussein amekaribisha hukumu dhidi ya Radovan Karadzic, aliyekuwa Rais wa zamani jamhuri ya Serbina ya Bosnia Hergzegovina , iliyotolewa leo na mahakama ya kimataifa ya uhalifu kwa ajili ya Yugoslavia ya zamani ICTY, akieleza kwa
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo kwa kauli moja limepitisha azimio namba 2275 (2016), la kuongeza muda wa mamlaka ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, UNSOM, kwa kipindi cha mwaka mmoja, hadi Machi 31 mwaka 2017.
Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, wamekaribisha tangazo la Jumatano Machi 23 2016, lililofanywa na Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu kuhusu Yemen, Ismail Ould Cheikh Ahmed, la usitishaji uhasama kote nchini, ambao umepangwa kuanza usiku wa manane Aprili 10, na mazungumzo ya amani yaliy
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na rais wa Ukraine, Petro Poroshenko.
Kuna uwezekano wa msafara mkubwa wa Wairaq kukimbia endapo ufadhili hautopatikana kuwasaidia maelfu walio katika hali mbaya ya kibinadamu, ameonya leo afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa.