Kutoka Mwanza watoto waelezea changamoto za hedhi.
Suala la kuanza hedhi kwa watoto wa kike linasalia bado ni changamoto katika nchi zinazoendelea, Tanzania ikiwa ni mojawapo.
Suala la kuanza hedhi kwa watoto wa kike linasalia bado ni changamoto katika nchi zinazoendelea, Tanzania ikiwa ni mojawapo.
Wakati huu ambapo Somalia inaelekea kuandaa uchaguzi wa rais na wabunge mwaka 2016 na kuunda katiba mpya, Mtalaam huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za binadamu nchini Somalia, Tom Nyanduga, ameeleza changamoto alizozishuhudia wakati wa ziara yake ya pili nchini humo kwanzia tarehe 22 had