UNICEF na wadau wahaha kunusuru watoto Yemen
Yemen! Taifa ambalo tangu mwezi Machi limeingia katika sintofahamu ya migogoro ya ndani hivyo kusababisha udumavu wa huduma za kijamii na kibinadamu .
Yemen! Taifa ambalo tangu mwezi Machi limeingia katika sintofahamu ya migogoro ya ndani hivyo kusababisha udumavu wa huduma za kijamii na kibinadamu .
Kilimo chaweza kuleta tija ikiwa wakulima watawezeshwa kimtaji, ni kauli ya afisa anayeshugulikia mikopo kwa wakulima chini Tanzania ambapo wakulima wamewezesha kimikopo kutoka benki iitwayo Access na kuanza kubadilisha maisha yao.
Gharama ya nishati inayoagizwa kutoka nje ni tatizo kubwa kwa wafanyabiashara nchini Jamaica. Asilimia 90 ya nishati inayotumiwa kwenye kisiwa hicho cha Bahari ya Karibe, huagizwa kutoka nje ya nchi.
Hatimaye dunia inaanza kuadhimisha siku ya kuhamasisha jamii kuhusu ulemavu wa ngozi, au Albinism. Ukosefu wa uelewa juu ya hali hiyo ya kiafya imesababisha kundi hilo kukumbwa na madhila kila uchao, ikiwemo baadhi kukatwa viungo vyao eti vinaleta utajiri.
Mlonge au moringa kwa kiingereza ni mmea ambao umetambuliwa na Kongamano la Umoja wa MAtaifa la Misitu, UNFF, kwa manufaa yake katika lishe ya binadamu, riziki ya wakazi wa maeneo ya misitu na pia fursa ya kutunza misitu duniani kote.
Wakati harakati za kurejesha utulivu nchini Burundi zikiendelea, maelfu ya wananchi wamekimbilia nchi jirani ili kusaka hifadhi.
Kila uchao vipaji vya muziki vinaibuka barani Afrika! Vijana wake kwa waume wanajikita katika sanaa hii ya muziki kuburudisha, kuelimisha na kuhabarisha.
Mkataba wa kimataifa wa haki za mtoto, CRC unataja misingi mikuu minne ya haki za mtoto ambayo ni kuishi, kuendelezwa, kushirikishwa na kulindwa.
Huko Darfur nchini Sudan watu wasiojulikana majuzi walishambulia msafara uliokuwa na magari ya ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika nchni humo, UNAMID.
Jukwaa la dunia kuhusu ulimwengu wa mawasiliano lilifunga pazia lake hivi karibuni huko Geneva, Uswisi ambapo wajumbe wa nchi shiriki walipata fursa ya kujifunza mengi ili kuhakikisha maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yanakuwa na faida badala ya kugeuka shubiri kwa watumiaji.