Zimbabwe

Zimbabwe chonde chonde zingatieni ahadi ya amani- Guterres

Umoja wa Mataifa una wasiwasi mkubwa kutokana na matukio ya ghasia yaliyoibuka nchini Zimbambwe baada ya uchaguzi wa rais na kusababisha vifo vya raia.

Sauti -
1'23"

02 Agosti 2018

Hii leo Alhamisi ya Agosti 2, 2018 Patrick Newman anaangazia yafuatayo:

Sauti -
11'24"

Zimbabwe chonde chonde zingatieni ahadi ya amani- Guterres

Umoja wa Mataifa una wasiwasi mkubwa kutokana na matukio ya ghasia yaliyoibuka nchini Zimbambwe baada ya uchaguzi wa rais na kusababisha vifo vya raia.

Zimbabwe yajitayarisha kwa uchaguzi mkuu

Uchaguzi mkuu nchini Zimbabwe unakaribia na wito umetolewa leo kwa wadau wote serikali, vyama vya kisiasi na wafuasi wao kuhakikisha kuwa uchaguzi huo unafanyika katika mazingira  ya amani, utulivu , kuzingatia haki za binadamu na utawala wa sharia.

Sauti -
2'12"

Zimbabwe ni lazima kuheshimu haki zabinadamu wakati wa uchaguzi:UN

Uchaguzi mkuu nchini Zimbabwe unakaribia na wito umetolewa leo kwa wadau wote serikali, vyama vya kisiasi na wafuasi wao kuhakikisha kuwauchaguzi huo unafanyika katika mazingira  ya amani, utulivu , kuzingatia haki za binadamu na utawala wa sheria.

Guterres amelaani vikali shambulio nchini Zimbabwe

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ashtushwa na kulaani mlipuko uliotokea nchini Zimbabwe Jumamosi.

Usaidizi kwa Zimbabwe hadi illipe malimbikizo- IMF

Shirika la fedha duniani, IMF limesema liko tayari kusaidia Zimbabwe kurejea ukuaji wake wa kiuchumi pamoja na utulivu kufuatia kuondoka madarakani kwa Rais Robert Mugabe.

Sauti -

Mugabe ameondoka sasa ondoeni vikwazo Zimbabwe:UM

Wataalamu wawili huru wa Umoja wa mataifa wa masuala ya haki za binadamu wamekaribisha hatua ya kutomwaga damu Zimbamwe wakati wa kuhamisha madaraka kutoka kwa Rais Robert Mugabe ,na kutoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuunga mkono hatua hiyo kwa kuondoa vikwazo.

Sauti -

Mugabe ameondoka sasa ondoeni vikwazo Zimbabwe:UM