Sajili
Kabrasha la Sauti
Wakuu wanne wa nchi wamekutana katika mkutano wa kwanza kabisa kuwahi kufanyika Afrika kuhusu uchumi na masuala ya wanyamapori.
Kimbunga Idai kilichopiga Msumbiji mwezi uliopita wa Machi kimesababisha zaidi ya watoto 305,000 nchini humo washindwe kuhudhuria shuleni.
Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani linakimbiza msaada wa chakula na vifaa vingine vya muhimu kuwafikia maelfu ya watu waliokwama kutokana na mafuriko makubwa nchini Msumbiji ambayo yanaonekana kuwa zahma kubwa kila saa