Zeid Ra’ad Al Hussein

Zeid haachii ngazi wala hajiuzulu:UN

Ofisi ya Kamisha mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Geneva, leo imetoa ufafanuzi kuhusu Kamisha mkuu Zeid Ra’ad al Hussein kutosaka muhula wa pili madarakani.

Sauti -

Chukua hatua, simamia haki za binadamu:Zeid

Leo ni siku ya kimataifa ya haki za binadamu duniani ambayo kila mwaka huadhimishwa tarehe 10 ya mwezi Desemba.

Sauti -

Azimio la haki latulinda sote, hivyo tulitetee- Guterres

Kwa pamoja tusimame na tuzungumze kuhusu haki za binadamu kwani zinatulinda sote!

Sauti -

Azimio la haki latulinda sote, hivyo tulitetee- Guterres