Yobe

Nchini Nigeria tamthilia iliyofadhiliwa na WFP, yalenga kuzua gumzo kuhusu mzozo

Mwisho wa mwezi Desemba na Januari wapenda sanaa nchini Nigeria watashuhudia sanaa ya tamthilia kwa jina Bintu iliyotungwa na kuandaliwa kwa ufadhili wa Shirika la mpango wa chakula duniani,

Sauti -
1'49"

Tamthilia iliyofadhiliwa na WFP, yalenga kuzua gumzo kuhusu mzozo Kaskazini Mashariki mwa Nigeria

Mwisho wa mwezi Desemba na Januari wapenda sanaa nchini Nigeria watashuhudia sanaa ya tamthilia kwa jina Bintu iliyotungwa na kuandaliwa kwa ufadhili wa Shirika la mpango wa chakula duniani, WFP na ukumbi wa maonyesho wa Mosaic. 

FAO na WFP waungana kuepusha utegemezi wa chakula Nigeria

Mashirika ya Umoja wa Mataifa, likiwemo la chakula na kilimo FAO na mpango wa chakula duniani WFP wamezindua mkakati wa pamoja  wa kusaidia wakazi wa kaskazini-mashariki mwa Nigeria kukabiliana na tatizo la njaa na utegemezi wa chakula cha msaada.

Chondechode wasichana waliotekwa Nigeria warejeshwe- UN

Umoja wa Mataifa una wasiwasi mkubwa juu ya hatma ya zaidi ya wasichana 100 nchini Nigeria ambao yadaiwa walitekwa nyara na Boko Haram wiki iliyopita.