Yatima

Ebola yazidi kuacha watoto bila wazazi DRC - UNICEF

Idadi ya watoto walioachwa yatima au bila walezi kutokana na ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , DRC imeongezeka zaidi ya maradufu tangu mwezi Aprili mwaka huu na huduma za haraka zinahitajika katika majimbo yaliyoathirika zaidi ya Ituri na Kivu Kaskazini limesema shirika l

Sauti -
2'22"

Kipaji cha mwanao ni kwa ajili yake na jamii yake

Unaposaidia kuendeleza kipaji cha mwanao faida zake si kwake peke yake bali pia kwa jamii nzima. Huo ndio wito uliojitokeza katika warsha ya siku tatu iliyokutanisha wazazi, walimu na wanafunzi mkoani Pwani nchini Tanzania kwa lengo la kutambua, kuendeleza na kufaidi na vipaji vya watoto hususani yatima na wasiojiweza.