Yambio

Kutoka elimu chini ya miti hadi ya ndani ya darasa Yambio.

Zaidi ya watoto 500 wa mji wa Yambio katika jimbo la Gbudue nchini Sudan Kusini ambao awali walikuwa wanasomea chini ya miti sasa mwelekeo wao wa elimu umenyooka baada kufunguliwa kwa jengo jipya lenye vyumba vinne vya madarasa.

Zaidi ya watoto 100 wanaotumikishwa vitani Sudan Kusini waachiliwa huru

Watoto wengine 128 wameachiliwa hii leo kutoka makundi  yanayojihami huko Sudan Kusini na hivyo kufanya idadi ya watoto walioachiliwa mwaka huu pekee kuwa zaidi ya 900.

UNMISS yawanoa Polisi Sudan Kusini kuhusu ulinzi kwa watoto

Maafisa 23 wa jeshi la polisi la Sudan Kusini wanaohudumu kwenye mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini  humo cha UNMISS wamekutana  kwa ajili ya mafunzo maalumu ya kuwalinda watoto katika sehemu za migogoro.

Yambio na elimu

Nchini Sudan  Kusini, chuo ya ualimu kilichoanzishwa kwenye eneo linalokabiliwa na ghasia kinasaidia kuelimisha na kuponya majeraha kwa vijana ili nao pia waweze kusaidia kizazi kijacho. 

Sauti -
2'

12 Julai 2018

Katika Jarida la leo Alhamisi Assumpta Massoi anawasilisha masuala mbalimbali:Pesa nyingi zapotea usipomsomesha mtoto wa kike, Flora Nducha anachambua ripoti mpya ya  Benki ya Dunia;Uganda  inaendelea katika gurudumu la  kufanikisha SDGs, ni kwa mujibu wa afisa mratibu wa SDGs akizungumza na idha

Sauti -
11'33"

Unaweza kupora gari au nyumba lakini si elimu ya mtu- Shearer

Vita nchini Sudan Kusini vilianza mwezi Disemba mwaka 2013 na hadi hii leo bado kuna mapigano hususan kwenye jimbo la Upper Nile. Ingawa hivyo shirika moja la kujitolea limeamua kuleta nuru kwa vijana na watoto wa eneo hilo kwa kuanzisha chuo cha ualimu.