Wanawake wa mashinani ni waleta mabadiliko
Ukitaka kupanga miji vizuri, husisha wanawake! Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na makazi, UN-Habitat, Maimunah Mohd Sharif wakati akifungua mkutano wa tisa wa jukwaa la miji,WUF9 ulioanza leo huko Kuala Lumpur Malaysia.
Amesema ni muhimu kushirikisha wanawake katika upangaji miji ili kufanikisha lengo namba 11 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs kuhusu miji jumuishi akigusia nukuu aliyowahi kuelezwa kuwa..
(Sauti ya Maimunah Mohd Sharif)