Kutoka Uganda ripoti yaeleza kwamba zaidi ya raia 5,000 wamekimbia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (DRC, na kusaka hifadhi nchini Uganda tangu tarehe 18 mwezi huu wa Disemba, kufuatia ongezeko la mashambulizi. Maelezo zaidi na mwandishi wetu John Kibego.