Women, children, population

Usipowezeshwa hata kama si mlemavu , utalemaa

Kuwa mlemavu sio kulemaa isipokuwa la msingi na kujumuisha ili nawe uweze kutoa mchango wako katika familia, jamii n ahata taifa kwa ujumla.

Sauti -

Usipowezeshwa hata kama si mlemavu , utalemaa

Wasyria wasilipe gharama ya mkwamo wa kisiasa- O’Brien

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria Staffan de Mistura akihutubia kwa njia ya video kutoka Geneva, Uswisi (Picha:UN/Kim Haughton)Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limeshauriwa kusaka njia ya kuondokana na mwelekeo wa sasa huko Syria ambako raia wasio na hatia wanalipa gharama y

Sauti -

Wasyria wasilipe gharama ya mkwamo wa kisiasa- O’Brien

Vyombo vya habari vyazidi kuminywa nchini Misri

Wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa wameeleza wasiwasi wao juu ya vitendo vya serikali ya Misri kubinya uhuru wa kujieleza wa vyombo vya habari nchini humo.

Sauti -

Vyombo vya habari vyazidi kuminywa nchini Misri

Ukosefu wa usalama unatukwaza vijana DRC- Sehemu ya pili

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ghasia hususan mashariki mwa nchi hiyo zimesababisha maelfu ya watu kusaka hifadhi nchi jirani. Maisha ugenini ni ya kuwezesha mkono kwenda kinywani lakini mawazo ni kurejea nyumbani.

Sauti -

Ukosefu wa usalama unatukwaza vijana DRC- Sehemu ya pili