Women, children, population

Suluhu kwa migogoro kupunguza kadhia ya wahamiaji duniani: Grandi

UNICEF na asasi ya Uingereza zashirikiana kuimarisha huduma za maji na kujisafi Syria

Shirika la Kuhudumia Watoto UNICEF, linashirikiana na Shirika la kutoa misaada la Uingereza, UK AID kuimarisha huduma za maji safi na kujisafi kat

Sauti -

UNICEF na asasi ya Uingereza zashirikiana kuimarisha huduma za maji na kujisafi Syria

Msaada wa washirika ni muhimu katika kufanikisha wajibu wa UNAMA

Mpango wa Umoja wa mataifa nchini Afghanistan UNAMA umesema unatambua na kuwashukuru washirika wake kwa msaada mkubwa nchini humo mwaka 2015. Kauli hiyo imetolewa kwenye hafla maalumu iliyofanyika mjini Kandahar kusini mwa nchi hiyo.

Sauti -

Msaada wa washirika ni muhimu katika kufanikisha wajibu wa UNAMA

Martin Kobler atuma salamu za mwaka mpya kwa Walibya

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya Martin Kobler, ametuma salamu zake za mwaka mpya kwa raia wa Libya akiwatakia amani, matumaini na ukuaji wa uchumi.

Sauti -

Martin Kobler atuma salamu za mwaka mpya kwa Walibya