Women, children, population

Marekani yapongezwa kwa sheria inayoheshimu uhuru wa imani

Mtaalamu maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu uhuru wa dini au imani, Ahmed Shaheed, amekaribisha marekebisho ya sheria ya kimataifa ya uhuru wa dini iliyotekelezwa ijumaa nchini Marekani na Rais Barack Obama, inayotambua haki za wasioamini Mungu.

Sauti -

Marekani yapongezwa kwa sheria inayoheshimu uhuru wa imani

Mradi wa MONUSCO wa kuimarisha usalama Uvira DRC wazaa matunda

Mwezi mmoja tangu ujumbe wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC,

Sauti -

Mradi wa MONUSCO wa kuimarisha usalama Uvira DRC wazaa matunda

2016 ulikuwa janga kwa Syria, 2017 nuru yaangazia- Pinheiro

Mwenyekiti wa Tume huru ya uchunguzi kuhusu Syria, Paulo Sergio Pinheiro amesema mwaka 2016 ulikuwa mwaka mbaya zaidi kwa nchi hiyo ambayo mzozo wake unakamilisha mwaka wa sita tangu kuanza. Grace Kaneyia na ripoti kamili.

(Taarifa ya Grace)

Sauti -

2016 ulikuwa janga kwa Syria, 2017 nuru yaangazia- Pinheiro

UNESCO wakabiliana na ukeketaji Tanzania

Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO nchini Tanzania, kwa kushirikiana na wadau wengine wanasaidi

Sauti -

UNESCO wakabiliana na ukeketaji Tanzania

Msaada wa dola zaidi ya milioni tatu na nusu kukarabati shule Haiti baada ya kimbunga Matthew

Umoja wa Mataifa umeipatia Haiti msaada wa dola zaidi ya Milioni tatu na nusu kwa ajili ya ukarabati wa shule ambazo ziliharibiwa na kimbunga Matthew.

Sauti -

Msaada wa dola zaidi ya milioni tatu na nusu kukarabati shule Haiti baada ya kimbunga Matthew