Women, children, population

Mradi wa kuboresha takwimu za sekta za nje waanzishwa na Shirika la Fedha Duniani

Shirika la fedha duniani, IMF, hii leo limezindua mradi wa miaka mitatu wa kuboresha takwimu za sekta katika nchi za Afrika ya Kati na a Magharibi.

Sauti -

Mradi wa kuboresha takwimu za sekta za nje waanzishwa na Shirika la Fedha Duniani

Vifaa vya matibabu vyawasili Taiz, Yemen

Shirika la afya duniani WHO na msaada wa kituo cha misaada ya kibinadamu cha mfalme Salman limetoa msaada wa tani kumi na mbili za vifaa vya matibabu ya dharu

Sauti -

Vifaa vya matibabu vyawasili Taiz, Yemen

Israel sitisha mipango ya ujenzi Yerusalem mashariki- Mladenov

Mratibu maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu mchakato wa amani mashariki ya kati, Nickolay Mladenov ameitaka Israel kuachana na mipango yake ya ujenzi wa makazi mapya kwenye eneo inalokalia la Palestina.

Sauti -

Israel sitisha mipango ya ujenzi Yerusalem mashariki- Mladenov

UNODC yaongelea kukuza usalama na maendeleo Afrika

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu madawa ya kulevya na uhalifu, UNODC, Bwana, Yury Fedotov amesema ataendelea kushirikiana na serikali ya Kenya na nchi jirani kuimarisha uwezo wa kupambana na uhalifu kama vile ugaidi, rushwa, madawa ya kulevya na usafirishaji haramu wa bin

Sauti -

UNODC yaongelea kukuza usalama na maendeleo Afrika

Tofauti za kihistoria zisikwamishe maendeleo ya Asia- Ban

Akiwa ziarani barani Asia, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema itakuwa jambo la kusikitisha iwapo bara hilo litaendelea kukwamisha na tofauti zao za kihistoria badala ya kusonga mbele kimaendeleo.

Sauti -

Tofauti za kihistoria zisikwamishe maendeleo ya Asia- Ban