Women, children, population

De Mistura ahuzunishwa na kuendelea kwa mapigano Syria

Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Syria, Staffan de Mistura amesema anasikitishwa mno na kuendelea kwa mapigano na hali ya hatari ya kibinadamu nchini humo.

Sauti -

De Mistura ahuzunishwa na kuendelea kwa mapigano Syria

Usugu wa tiba ya magonjwa ya zinaa waibua mwongozo mpya

Shirika la Afya Duniani, WHO leo limezindua mwongozo mpya wa matibabu ya magonjwa ya zinaa ambayo ni pangusa, kisonono na kaswende.

Sauti -

Usugu wa tiba ya magonjwa ya zinaa waibua mwongozo mpya

Mamilioni ya wanafunzi Afika ya Kati na Magharibi hatarini kukosa chakula

Shirika la mpango wa chakula duniani, WFP limeonya kuwa zaidi ya watoto Milioni Moja nukta tatu mamilioni huko Afrika  ya kati na magharibi wako hatarini kukosa mlo wa shuleni wakati  huu ambapo shule zinakaribiwa kufunguliwa mwezi ujao.

Sauti -

Mamilioni ya wanafunzi Afika ya Kati na Magharibi hatarini kukosa chakula

Saa 48 zashuhudia kuokolewa zaidi ya watu 7,000 huko Mediteranea

Zaidi ya watu elfu saba waliokolewa kutoka bahari ya Mediteranea juzi jumapili na jana jumatatu karibu na pwani ya Libya.

Sauti -

Saa 48 zashuhudia kuokolewa zaidi ya watu 7,000 huko Mediteranea

Wanawake na wasichana wapoteza muda mwingi kusaka maji- UNICEF

Wanawake na wasichana hupoteza jumla ya saa Milioni 200 kila siku wakisaka maji, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF

Sauti -

Wanawake na wasichana wapoteza muda mwingi kusaka maji- UNICEF