Women, children, population

Kampeni kubwa ya chanjo dhidi ya polio kufanyika Afghanistan

Kampeni kubwa ya chanjo dhidi ya polio kufanyika Afghanistan

Nchini Afghanistan, kampeni kubwa ya chanjo dhidi ya polio imeanza leo kwa watoto wote wenye umri wa chini ya miaka mitano, kwa kuwa ugonjwa huo hulipuka kati ya mwezi Septemba na Oktoba.

Sauti -

Elimu jumuishi yakwamua watoto Burundi

Elimu jumuishi yakwamua watoto Burundi

Watu wenye ulemavu ni kundi lililo hatarini zaidi kubaguliwa katika nyanja mbali mbali kama elimu, afya na huduma za kijamii kwa ujumla, Moja ya malengo ya maendeleo endelevu, SDGs ni kuhakisha maslahi ya watu walemavu yanazingatiwa kwa kuwajumusha katika masuala yanayowahusu zaidi.

Sauti -

De Mistura ahuzunishwa na kuendelea kwa mapigano Syria

De Mistura ahuzunishwa na kuendelea kwa mapigano Syria

Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Syria, Staffan de Mistura amesema anasikitishwa mno na kuendelea kwa mapigano na hali ya hatari ya kibinadamu nchini humo.

Sauti -