Women, children, population

Ni mtu mmoja tu kati 100 anayenusuriwa katika biashara haramu ya watu:UNODC

Ni mtu mmoja tu kati ya 100 anayenusuriwa kutoka kwenye biashara haramu ya binadamu , kwa mujibu wa afisa anehusika na mambo ya biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu kwenye ofisi ya Umoja wa mataifa ya madawa na uhalifu UNODC.

Sauti -

Ni mtu mmoja tu kati 100 anayenusuriwa katika biashara haramu ya watu:UNODC

UNODC yasikitishwa na mauaji Indonesia kuhusiana na dawa za kulevya

Ofisi ya Umoja wa Mataifa kuhusu dawa za kulevya na uhalifu (UNODC), imeeleza kusikitishwa kwamba Indonesia ilipuuza wito wa Katibu Mkuu kwamba isinyonge baadhi ya wafungwa kwa madai ya uhalifu unaohusiana na dawa za kulevya.

Sauti -

UNODC yasikitishwa na mauaji Indonesia kuhusiana na dawa za kulevya

Katika siku ya kimataifa ya chui UM watoa wito kukabili uwindaji haramu

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa mazingira UNEP kanda ya Asia na Pacific leo limeadhimisha siku ya kimataifa ya chui, kwa wito wa kuchukuliwa haraka hatua kuwa

Sauti -

Katika siku ya kimataifa ya chui UM watoa wito kukabili uwindaji haramu

Migogoro ya muda mrefu inaongeza baa la njaa:WFP/FAO

Migogoro ya muda mrefu inayoathiri nchi 17 imewasababisha mamilioni ya watu kutumbukia katika hali ya kutokuwa na uhakika wa chakula , na kuwa kigingi kwa juhudi za kimataifa za kutokomeza utapia mlo.

Sauti -

Migogoro ya muda mrefu inaongeza baa la njaa:WFP/FAO

Watoto wachanga milioni 77 hawanyonyeshwi katika saa ya kwanza ya uhai wao:UNICEF

Watoto wachanga milioni 77 million  au mtoto 1 kati ya 2 hawanyonyeshwi katika saa ya kwanza baada ya kuzaliwa , na kuwanyima virutubisho muhimu , kinga na uhuisiano wa mwili kwa mwili na mama yake vitu ambavyo vinamlinda mtoto huyo na maradhi na kifo.

Sauti -

Watoto wachanga milioni 77 hawanyonyeshwi katika saa ya kwanza ya uhai wao:UNICEF