Women, children, population

Mwelekeo ni vifungashio vya sigara bila alama yoyote- WHO

Ujumbe wetu wa mwaka huu wa siku ya kutotumia bidhaa za tumbaku unalenga vifungashio vya sigara visivyokuwa na alama wa jina kama njia ya kupunguza matumizi ya bidhaa hizo, amesema Dkt.

Sauti -

Mwelekeo ni vifungashio vya sigara bila alama yoyote- WHO

Baraza la usalama lalaani shambulio dhidi ya walinda amani Mali

Wajumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wamelaani vikali shambulio la kigaidi la Mei 29 dhidi ya ujumbe wa UM nchini Mali, MINUSMA katika mkoa wa Mopti ambapo walinda amani watano kutoka Togo waliuwawa.

Sauti -

Baraza la usalama lalaani shambulio dhidi ya walinda amani Mali

Walinda amani wazungumzia wanayokumbana nayo kila uchao #Peacekeepingday

Mei 29 kila mwaka,  hufanyika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa. Siku hii huaadhimishwa ili kuwakumbuka wale waliopoteza maisha yako wakilinda amani na pia kutoa heshima kwa ujasiri wa wanaofanya kazi hiyo.

Sauti -

Walinda amani wazungumzia wanayokumbana nayo kila uchao #Peacekeepingday

Wahamiaji wengine 700 wahofiwa kufa maji wakielekea Ulaya

Takribani wahamiaji 700 wanahofiwa kufa maji baada ya  kuzama  kwa boti walizokuwa wanasafiria katika pwani ya Libya mwishoni mwa juma lililopita wakati makundi hayo yakijaribu kuhamia Ulaya kwa vyombo visivyo salama.

Sauti -

Wahamiaji wengine 700 wahofiwa kufa maji wakielekea Ulaya

Mkutano wa LDCs wahitimishwa, waridhia benki ya teknolojia

Mkutano wa kutathmini mpango wa utekelezaji wa Istanbul, IPoA kwa nchi zenye maendeleo duni, LDCs, umefikia ukomo hii leo huko Antalya, Uturuki ambapo miongoni mwa mambo muhimu yaliyomo kwenye nyaraka iliyopitishwa ni kuanzishwa kwa benki ya teknolojia.

Sauti -

Mkutano wa LDCs wahitimishwa, waridhia benki ya teknolojia