Women, children, population

Ban akaribisha kuwasili Tripoli kwa Baraza la Urais la Libya

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amekaribisha kuwasili kwa Baraza la Urais la Libya mjini Tripoli mnamo Machi 30, 2016, akitaja kuwasili huko kama hatua muhimu katika kutekeleza makubaliano ya kisiasa ya Libya.

Sauti -

Ban akaribisha kuwasili Tripoli kwa Baraza la Urais la Libya

ICTY yamfutia mashitaka Vojislav Šešelj :

Mahakama ya kimataifa ya mauaji ya kimbari ya Yugoslavia ya zamani ICTY leo imemfutia mashitaka yote na kumwachia huru Vojislav Šešelj, Rais wa chama cha Serbia cha Serbian Radical Party na mjumbe wa zamani wa bunge la Jamhuri ya Serbia.

Sauti -

ICTY yamfutia mashitaka Vojislav Šešelj :

Mradi wa pamoja waleta nuru vita dhidi ya GBV-Kenya

Nchini Kenya wadau mbali mbali wanashirikiana katika kukabiliana na ukatili wa kijinsia, GBV kupitia programu ya usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake Jowege.

Sauti -

Mradi wa pamoja waleta nuru vita dhidi ya GBV-Kenya

Watu wanaohitaji misaada maeneo yaliyozingirwa Syria bado hawaipati:UM

Nchini Syria maelfu tya watu ambao wanahitaji misaada ya haraka bado haiwafikii katika baadhi ya maeneo yaliyozingirwa umesema Umoja wa mataifa Alhamisi. Amina Hassan na taarifa kamili.

(TAARIFA YA AMINA)

Sauti -

Watu wanaohitaji misaada maeneo yaliyozingirwa Syria bado hawaipati:UM

Nchini Madagascar, utumwa bado huwakumba watoto

Bado zaidi ya asilimia 25 ya watoto wenye umri wa kati ya miaka mitano na 17 wanatumikishwa nchini Madagascar, hasa kwenye kazi za nyumbani, limesema Shirika la Kazi duniani

Sauti -

Nchini Madagascar, utumwa bado huwakumba watoto