Women, children, population

De Mistura aelezea matumaini ya kukutana na upinzani wa Syria Jumapili

Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria, Stafan de Mistura, amesema leo anaamini kuwa ataweza kukutana na kamati kuu ya mashauriano ya upinzani nchini Syria mnamo Jumapili jijini Geneva, Uswisi.

Sauti -

De Mistura aelezea matumaini ya kukutana na upinzani wa Syria Jumapili

Wataalamu wa UM waitaka Marekani kushughulikia ukatili wa polisi na dhuluma za ubaguzi wa rangi

Alama za utumwa zinasalia kuwa changamoto kubwa nchini Marekani kwa kuwa kumekuwa hakuna ahadi ya kweli kutambua na kuwalipa fidia watu wenye asili ya Afrika, limesema leo jopo la wataalamu wa Umoja mwishoni mwa ziara yao ya pili rasmi nchini humo.

Sauti -

Wataalamu wa UM waitaka Marekani kushughulikia ukatili wa polisi na dhuluma za ubaguzi wa rangi

Fahamu utamaduni wa dansi India

Utamaduni ni maisha, ndivyo unavyoweza kusema ukiwa unatafakari na kuzingatia uatamaduni wa watu wa India ambapo pamoja na mambo mengine utamaduni wa jamii moja ya watu wa India ambao hucheza na nyoka huwashangaza wengi.

Sauti -

Fahamu utamaduni wa dansi India

Nishati mbadala nchini Uganda

Upatikanaji wa nishati kwa wote ni changamoto kwa karne ya 21, wakati ambapo mtu mmoja kati ya watano hawapati huduma za umeme duniani, na Umoja wa Mataifa ukitarajia kuwa mahitaji ya nishati yataongezeka kwa asilimia 33 ifikapo mwaka 2035.

Sauti -

Nishati mbadala nchini Uganda

Prof. Murenzi wa Rwanda miongoni mwa wataalam wa kuwezesha teknolojia katika SDGs

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ametangaza leo kuwa amemteua Prof.

Sauti -

Prof. Murenzi wa Rwanda miongoni mwa wataalam wa kuwezesha teknolojia katika SDGs