Women, children, population

Mwanasoka wa kike Marta Da Silva ahamasisha vipaji kwa maendeleo Afrika

Mwanasoka wa kike Marta Da Silva ahamasisha vipaji kwa maendeleo Afrika

Katika kufanikisha ukuzaji wa vipaji unaotoa matokeo chanya ya ustawi wa jamii watu mashuhuri hutumiwa ili kuving’amua na kisha vitumike kwa manufaa ya jamii husika.

Sauti -

Burkina Faso: Ban afahamu kuhusu kujiuzulu kwa Rais Compaoré

Burkina Faso: Ban afahamu kuhusu kujiuzulu kwa Rais Compaoré

Wakati mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa huko Afrika Magharibi Mohammed Ibn Chambas akiwa amewasili Burkina Faso kusaka suluhu la mzozo unaoendelea nchini humo, Ban Ki-Moon ametambu

Sauti -

Umuhimu wa kuhifadhi nyaraka za picha na sauti

Umuhimu wa kuhifadhi nyaraka za picha na sauti

Urithi wa picha na sauti zitokanazo na matukio mbali mbali duniani uko hatarini!

Sauti -

Ziara ya Ban Ushahidi/Ihub jijini Nairobi yamfungua mengi

Ziara ya Ban Ushahidi/Ihub jijini Nairobi yamfungua mengi

Wakati akihitimisha ziara yake ya Pembe ya  Afrika huko Nairobi Kenya siku ya Ijumaa, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki-moon ametembelea ofisi ya Ushahidi/Ihub, ambayo ni ya shirika linalotumia t

Sauti -

Umoja wa Mataifa waonya unyanyapaa dhidi ya wahudumu wa afya

Umoja wa Mataifa waonya unyanyapaa dhidi ya wahudumu wa afya

Mratibu mwandamizi wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ebola Dk David Nabarro ameelezea kusikitishwa kwake na kile alichokiita vizuizi na uwekwaji karantini kwa wahudumu wa afya wanaotoka kutoa huduma dhidi ya ugonjwa huo.

Sauti -