Women, children, population

Watu wapatao 100 yasemekana kuuawa huko DRC; MONUSCO yachunguza

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC,

Sauti -

Watu wapatao 100 yasemekana kuuawa huko DRC; MONUSCO yachunguza

Ulimwengu ulitikiswa na kifo cha Madiba

Kubwa zaidi lililotikisa ulimwengu ni kifo cha Madiba! Taifa lake, dunia nzima ilimlilia na katika ibada ya mazishi ilikuwa bayana.

 Wimbo (kwaya)

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon aliweka bayana kuwa dunia imegubikwa na majonzi lakini.

Sauti -

Ulimwengu ulitikiswa na kifo cha Madiba

Ban azungumzia kuhitimishwa kwa mahakama maalum ya Sierra Leone

Hatimaye mahakama maalum kuhusuSierra Leoneimehitimisha kazi zake tarehe 31 Disemba baada ya miaka Kumi na moja ya utendaji wake.

Sauti -

Ban azungumzia kuhitimishwa kwa mahakama maalum ya Sierra Leone

Hapa na Pale: Majanga na Ustawi

Majanga ya kiasili na yale yasababishwayo na binadamu yalitikisa mwaka 2013, Kimbunga Haiyan kilipiga Ufilipino na kuua zaidi ya watu Elfu Sita na mamilioni kupoteza makazi na hata uharibifu wamali!

Sauti -

Hapa na Pale: Majanga na Ustawi

Hali si shwari katika taifa changa zaidi duniani:Sudan Kusini

Ni wimbo wa taifa wa Sudan Kusini, ulipoimbwa kwa mara ya kwanza, kukaribisha kuzaliwa kwa taifa jipya kabisa duniani. Julai 9, mwaka 2011,ilikuwa ni siku ya sherehe na matarajio makubwa, kama alivyoeleza Katibu Mkuu Ban Ki-Moon wakati huo katika hotuba yake

Sauti -

Hali si shwari katika taifa changa zaidi duniani:Sudan Kusini