Women, children, population

Ban alaani mashambulizi kwenye Jamhuri ya Afrika ya kati

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amelaani vikali mashambulzi yaliyoendeshwa kwenye miji kadhaa nchini Jamhuri ya Afrika ya kati na kundi la waasi la SELEKA.

Sauti -

Ban alaani mashambulizi kwenye Jamhuri ya Afrika ya kati

Dola 20 kila mwezi zitolewazo na UNICEF kwa kaya maskini nchini Kenya zabadili maisha

Mradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF wa kutoa msaada kidogo wa fedha kwa jamii maskini katika nchi zinazoendelea ili k

Sauti -

Dola 20 kila mwezi zitolewazo na UNICEF kwa kaya maskini nchini Kenya zabadili maisha

Vurugu Jamhuri ya Afrika ya Kati: UM wahamisha kwa muda baadhi ya wafanyakazi wake

Umoja wa Mataifa unahamisha kwa muda wafanyakazi wake wasio wa lazika kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati kutokana na kuzorota kwa usalama na kutotekelezwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano, licha ya waasi wa kikundi kiitwacho SELEKA kudai kuwa watasitisha na kuacha kusonga kuelekea mji mkuu Ban

Sauti -

Vurugu Jamhuri ya Afrika ya Kati: UM wahamisha kwa muda baadhi ya wafanyakazi wake

Kampuni ya sukari ya Mumias nchini Kenya na uhifadhi wa mazingira

Harakati za viwanda kujaribu kuhifadhi mazingira kwa kutumia mabaki ya malighafi za bidhaa zake kuzalisha bidhaa nyingine zinazidi kushika kasi, na viwanda kuwa mifano kwa viwanda vingine kama njia mojawapo ya kuhifadhi mazingira huku zikijiibulia huduma zingine.

Sauti -

Kampuni ya sukari ya Mumias nchini Kenya na uhifadhi wa mazingira

Hali ya usalama huko Goma, watu mashuhuri watoa ombi kwa UM

Kundi la watu mashuhuri, wakiwemo Rais wa zamani wa Ufaransa Jacques Chirac na Balozi wa mfuko wa Danielle Mitterrand, Valérie Trierweiler ambaye pia ni rafiki wa rais wa sasa wa Ufaransa, wametoa wito kwa Umoja wa Mataifa kupitisha azimio litakaloruhusu askari wa kulinda amani wa Umoja huo huko

Sauti -

Hali ya usalama huko Goma, watu mashuhuri watoa ombi kwa UM