Women, children, population

Hali ya Maisha ya wakimbizi wa ndani wa Goma nchini DRC

Hali ya maisha inaarifiwa kuwa duni sana katika maeneo kadhaa ya mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia mapigano yanayoripotiwa mara kwa mara kati ya Vikosi vya serikali na waasi wa M23.

Sauti -

Hali ya Maisha ya wakimbizi wa ndani wa Goma nchini DRC

IOM yakamilisha kuwasafirisha watu 2700 wanaorejea Sudan Kusini

Mashua nane za mwisho zinazowasafirisha zaidi ya watu 2700 na mizigo yao zinatarajiwa kutia nanga kwenye bandari ya Juba baada ya majuma matatu ya safari kutoka eneo la Renk kwenye jimbo la Upper Nile.

Sauti -

IOM yakamilisha kuwasafirisha watu 2700 wanaorejea Sudan Kusini

UM una wasi wasi wa matumizi ya nguvu kupita kiasi nchini Guinea

Ofisi ya haki binadamu ya Umoja wa Mataifa imeelezea wasi wasi wake kutokana na matumizi ya nguvu kupita kiasi mjini Conakry nchini Guinea.

Sauti -

UM una wasi wasi wa matumizi ya nguvu kupita kiasi nchini Guinea

Wakimbizi zaidi kutoka Syria waendelea kuwasili nchini Lebanon

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa linasema kuwa kuna ongezeko kwa wakimbizi kutoka Syria wanaowasili mashariki bonde la Bekaa nchini Lebanon ikikadiriwa kuwa takriban watu 2,200 wamewasili eneo hilo juma lililopita.

Sauti -

Wakimbizi zaidi kutoka Syria waendelea kuwasili nchini Lebanon

Ban akaribisha kutolewa ripoti juu ya ubadilishanaji madaraka Maldives

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema kuwa anafurahishwa na kukaribisha ripoti iliyotolewa na kamishna ya Maldives iliyoundwa kuchunguza mazingira yaliyosababishwa kubadilishwa madaraka kulikofanyika mwezi February mwaka huu.

Sauti -

Ban akaribisha kutolewa ripoti juu ya ubadilishanaji madaraka Maldives