Women, children, population

Kituo cha haki za binadamu Tanzania chalaumu kuvunjwa kwa haki za binadamu

WHO yaomba Juhudi Zaidi Zifanywe Kukabiliana na Ugonjwa wa Hepatitis

Shirika la Afya Duniani, WHO, limetoa wito kwa serikali kote duniani kuimarisha juhudi za kukabiliana na virusi vya ugonjwa wa Hepatitis, ambao huathiri ini n

Sauti -

WHO yaomba Juhudi Zaidi Zifanywe Kukabiliana na Ugonjwa wa Hepatitis

UNHCR yaomba nchi Jirani za Syria Kuacha mipaka Wazi kwa Wakimbizi

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, limetoa wito kwa nchi jirani za Syria kuacha mipaka yake wazi kwa ajili watu

Sauti -

UNHCR yaomba nchi Jirani za Syria Kuacha mipaka Wazi kwa Wakimbizi

Nusu ya Waangalizi wa UNSMIS Wameondoka Syria:UM

Nusu ya waangalizi wa Umoja wa Mataifa nchini Syria, UNSMIS, wameshaondoka nchini humo kwa mujibu wa msimamizi wa shughuli za kulinda amani wa Umoja wa Mataifa, Herve Ladsous.

Sauti -

Nusu ya Waangalizi wa UNSMIS Wameondoka Syria:UM

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa kutembelea Myanmar

Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa juu ya masuala ya haki za binadamu nchini Myanmar anatazamiwa kutembelea eneo hilo akiwa na dhima ya kutathmini hali ya mambo.

Sauti -

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa kutembelea Myanmar

Ban Aomboleza Kifo cha Rais wa Ghana

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo amesema kuwa amehuzunika na kusononeshwa na taarifa za kufariki dunia kwa rais wa Ghana John Atta Mills na ametuma salamu za rambi rambi kwa wananchi wa taifa hilo.

Sauti -