Women, children, population

Maisha ya Wakimbizi wa Ndani nchini Kenya

OCHA yahimiza kubadilisha mtazamo ili kuepuka janga la kibinadamu nchini Mali

Mkurugenzi wa operessheni za Ofisi hiyo ya kuratibu misaada ya kibinadam, John Ging, ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuzingatia hali mbaya ya kibinadam nchini Mali, inatokana na tatizo kubwa la uhaba wa chakula, utapia mlo, idadi kubwa ya watu kulazimika kuhama makwao na kuzorota kwa hali ya u

Sauti -

OCHA yahimiza kubadilisha mtazamo ili kuepuka janga la kibinadamu nchini Mali

Ushirikiano wahitajika kuwasaidia wakazi wa Camp New Iraq:UNHCR

Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR, limetoa wito uwepo ushirikiano, subira na ufahamu kwa wote wanaohusika katik

Sauti -

Ushirikiano wahitajika kuwasaidia wakazi wa Camp New Iraq:UNHCR

Hali ya kibinadamu kwa wakimbizi wa Sudan bado ni ya kutia wasiwasi: OCHA

Hali ya usalama katika jimbo la Bahr el Ghazal Kaskazini katika Sudan Kusini bado ingali tete, kufuatia Sudan Kusini kuishutumu jirani wake wa kaskazini, Sudan kurusha bomu katika eneo lake, kwa mujibu wa Afisi ya Kuratibu maswala ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa, OCHA.

Sauti -

Hali ya kibinadamu kwa wakimbizi wa Sudan bado ni ya kutia wasiwasi: OCHA

Mkuu mpya achukua usukani UNSMIS

Mkuu mpya wa waangalizi wa Umoja wa Mataifa nchini Syria, UNSMIS, amesema anatarajia kupungua kwa kiwango cha machafuko wakati wa kipindi cha mwisho cha operesheni ya UNSMIS nchini humo.

Sauti -

Mkuu mpya achukua usukani UNSMIS

UM watangaza Kupunguza msaada kwa Haiti kwa sababu za ufadhili

Afisi ya kuratibu misaada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa, OCHA, imetangaza kuwa Umoja wa Mataifa utapunguza kiasi cha fedha za msaada wa kimataifa unazochangisha kwa ajili ya kulisaidia taifa la Haiti kwa sababu mwitikio wa wafadhili haujakuwa wa kutia moyo mwaka huu.

Sauti -