Women, children, population

IOM yarejelea shughuli ya kuwahamisha Wahamiaji raia wa Ethiopia Waliokwama nchini Yemen

Wanaohusika kwenye ghasia nchini Syria watachukuliwa hatua za kisheria:Pillay

Kamishina mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Navi Pillay ameelezea wasi wasi wake kutokana na hatari inayowakodolea macho raia nchini Syria wakati ghasia zinapoendelea kusambaa kwenye miji mingi na vijiji ikiwemo miji mikubwa zaidi nchini humo ya Damascus na Aleppo.

Sauti -

Wanaohusika kwenye ghasia nchini Syria watachukuliwa hatua za kisheria:Pillay

Umoja, Mshikamano wa Pamoja ndiyo Njia Bora ya Kutanzua mzozo wa Guinea-Bissau

Mwanadiplomasia wa Umoja wa Mataifa amependekeza hatua zinazopaswa kupitiwa ili kutafutia majawabu mzozo wa kisiasa uliolikumba taifa la Guinea-Bissau lililopo katika pembe ya Afrika Magharibi ambalo hivi karibuni lilishuhudia mapinduzi ya kijeshi.

Sauti -

Umoja, Mshikamano wa Pamoja ndiyo Njia Bora ya Kutanzua mzozo wa Guinea-Bissau

Ban ahimiza Kustahimiliana na Amani wakati wa Michezo ya Olimpiki London

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, ameutaka ulimwengu kudumisha amani wakati wa michezo ya Olimpiki ambayo imeanza mjini London, Uingereza.

Sauti -

Ban ahimiza Kustahimiliana na Amani wakati wa Michezo ya Olimpiki London

Maisha ya Wakimbizi wa Ndani nchini Kenya

Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2002 nchini Kenya taifa hilo la Afrika Mashariki lilitumbukia kwenye machafuko yaliyodumu kwa muda wa miezi mitatu, machafuko yaliyotajwa kuwa mabaya zaidi kuwai kushudiwa tangu uhuru.

Sauti -