Women, children, population

UM watoa Dola milioni 20 Kuwasaidia Wakimbizi Sudan Kusini

WFP na washirika wake wajiandaa Kutoa Misaada ya Chakula nchini Zimbabwe

Ripoti mpya kuhusu mahitaji ya chakula nchini Zimbabwe inasema kuwa mmoja kati ya watu watano sehemu za vijijini nchini humo ambao ni karibu watu milioni 1.6 watahitaji msaada wa chakula msimu wa njaa unaokuja ikiwa ni asilimia 60 zaidi ya waliohitaji msaada kama huo msimu uliopita.

Sauti -

WFP na washirika wake wajiandaa Kutoa Misaada ya Chakula nchini Zimbabwe

WHO yaonya kuhusu Maradhi ya Kuambukiza wakati wa Olimpiki London

Wakati mashindano ya Olimpiki yakifunguliwa rasmi mjini London, Shirika la Afya Duniani, WHO, limeelezea hofu yake kuhusu masuala ya afya kutokana na mikusany

Sauti -

WHO yaonya kuhusu Maradhi ya Kuambukiza wakati wa Olimpiki London

Takriban watu milioni 1.5 wanahitaji msaada wa kibinadamu Syria:UNICEF

Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa, UNICEF limesema takriban watu milioni 1.5 wanahitaji msaada wa kibinadam nchini Syria.

Sauti -

Takriban watu milioni 1.5 wanahitaji msaada wa kibinadamu Syria:UNICEF

UNHCR yatoa wito wa kutaka kulindwa kwa maisha ya raia nchini DRC

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limeelezea kushangazwa kwake na ripoti za dhuluma zinazoendeshwa dhidi ya raia

Sauti -

UNHCR yatoa wito wa kutaka kulindwa kwa maisha ya raia nchini DRC

IOM yarejelea shughuli ya kuwahamisha Wahamiaji raia wa Ethiopia Waliokwama nchini Yemen

Ndege mbili za shirika la kimataifa la uhamaiaji IOM zinatarajiwa kuondoka nchini Yemen hapo kesho na siku ya Jumanne kuelekea Addis Ababa nchini Ethiopia zikiwasafirisha wahamiaji 554 raia wa Ethiopia.

Sauti -