Women, children, population

Navi Pillay alitaka Baraza la Usalama Kuwasilisha Mzozo wa Syria kwenye Mahakama ya Kimataifa ICC

Navi Pillay alitaka Baraza la Usalama Kuwasilisha Mzozo wa Syria kwenye Mahakama ya Kimataifa ICC

Mkuu wa kamishna ya Umoja wa Mataifa juu ya masuala ya haki za binadamu amerejelea wito akilitaka baraza la usalama kuwasilisha mzozo wa Syria katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu

Sauti -

Tatizo la Kukosa Makazi Haiti sasa linakaribia kufikia Ukomo

Tatizo la Kukosa Makazi Haiti sasa linakaribia kufikia Ukomo

Juhudi zinaendelea kuchukuliwa kukamilisha ujenzi wa nyumba zilizoharibiwa kutokana na tetemeko lililoikumba Haiti ambalo lilivuruga ustawi wa eneo hilo na kuacha mamia ya watu bila makazi.

Sauti -

IOM na UNHCR waanzisha Mradi Kuwakwamua raia wa Iraq Waliokosa Makazi

IOM na UNHCR waanzisha Mradi Kuwakwamua raia wa Iraq Waliokosa Makazi

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamezindua mpango wenye shabaha ya kuzisaidia zaidi ya familia 900 nchini Iraq ambazo zilikwenda mtawanyikoni.

Sauti -