Women, children, population

Baada ya kazi nzito naenda kupumzika:Migiro

Baada ya kazi nzito naenda kupumzika:Migiro

Kama tulivyowafahamisha Juma lililopita Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi Migiro amemaliza muda wake na kurejea nyumbani Afrika baada ya kuutumikia Umoja wa Mataifa kwa miaka mitano.

Sauti -

Juhudi zaidi zahitajika kukabiliana na aina zote za ubaguzi: UM

Juhudi zaidi zahitajika kukabiliana na aina zote za ubaguzi: UM

Mtaalam maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya ubaguzi wa rangi, chuki za watu wa kigeni na aina zingine za ubaguzi, ametoa wito kwa mataifa kote ulimweguni kuzingatia kwa karibu sana ishara za mwanzo za ubaguzi wa rangi, ambao hatimaye huenda ukakolea na kusababisha mizozo na ukiukaji mbay

Sauti -