Women, children, population

OCHA yahofia athari za kurusha mabomu kwenye mji wa Aleppo, Syria

Mratibu Mkuu wa Misaada ya Kibindam katika Umoja wa Mataifa, Valerie Amos, ameelezea kusikitishwa kwake na mashambulizi ya mizinga na silaha zingine nzito nzito kwa mji wa Aleppo, ambao ndio mji wenye idadi kubwa zaidi ya watu nchini Syria, pamoja na mji mkuu Damascus na miji mingine jirani.

Sauti -

OCHA yahofia athari za kurusha mabomu kwenye mji wa Aleppo, Syria

Jordan yafungua Kambi Mpya kwa Wakimbizi kutoka Syria

Huku watu zaidi wakiendelea kuihama Syria taifa jirani la Jordan limefungua kambi mpya kwa lengo la kuondoa misongamano iliyo kwenye mpaka waliko maelfu ya raia wa Syria.

Sauti -

Jordan yafungua Kambi Mpya kwa Wakimbizi kutoka Syria

Watu 200,000 wakimbia Mapigano Makali katika mji wa Aleppo nchini Syria:UNHCR

Takriban watu 200,000 wamekimbia mapigano makali katika mji wa pili mkubwa zaidi nchini Syria, Aleppo katika siku mbili zilizopita, limesema Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa,

Sauti -

Watu 200,000 wakimbia Mapigano Makali katika mji wa Aleppo nchini Syria:UNHCR

Ugonjwa hatari wa Ebola wathibitishwa Kuzuka Uganda, Waua watu 14:WHO

Wizara ya Afya nchini Uganda imetoa taarifa kwa Shirika la Afya Duniani, WHO, kuhusu kuzuka kwa homa hatari ya Ebola katika wilaya ya Kibaale ilio magharibi m

Sauti -

Ugonjwa hatari wa Ebola wathibitishwa Kuzuka Uganda, Waua watu 14:WHO

UM watoa Dola milioni 20 Kuwasaidia Wakimbizi Sudan Kusini

Mratibu wa huduma za dharura kwenye Umoja wa Mataifa OCHA, Bi. Valerie Amos, leo ametangaza kuwa shirika hilo limetenga zaidi ya dola milioni ishirini kuwasaidia watu wanaokimbilia Sudan Kusini wakitoroka mapigano katika majimbo ya Kordofan Kusini na Blue Nile.

Sauti -