Women, children, population

Baraza la haki za binadamu la UM lamteua mjumbe maalum wa haki za binadamu na mazingira

Baraza la haki za binadamu la UM lamteua mjumbe maalum wa haki za binadamu na mazingira

Baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa limemteua John knox kama mjumbe maalum wa haki za binadamu na mazingira na pia kutangaza kundi la kushughulia ujenzi wa makao ya walowezi kiyahudi nchini Israel kabla ya kukamilika kwa kikao chake cha 20.

Sauti -

Lemke akarabisha uamuzi wa IFAB wa kuruhusu wanawakle kushiriki kwenye michezo

Lemke akarabisha uamuzi wa IFAB wa kuruhusu wanawakle kushiriki kwenye michezo

Mshauri maalum wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu michezo kwa maendeleo na amani, Wilfried Lemke, amekaribisha uamuzi uliotolewa na bodi ya kandanda ya kimataifa IFAB kwa kuwaruhusu wanawake wanamichezo kuvaa hijabu iliyo salama kwenye michezo iliyo chini ya usimamizi wa shirika la kandand

Sauti -

Mkurugenzi Mkuu wa IOM kutembelea Senegal

Mkurugenzi Mkuu wa IOM kutembelea Senegal

Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na uhamiaji IOM William Lacy Swing anatazamiwa kuwa na ziara ya kikazi Dakar Mji Mkuu wa Senegal ziara inayotazamiwa kuanza hapo jumatatu.

Sauti -