Women, children, population

ICC yaweka Tarehe ya Kusikiliza Kesi za Kenya

ICC yaweka Tarehe ya Kusikiliza Kesi za Kenya

Kitengo nambari 5 cha Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa, leo Julai 9 kimeweka tarehe za kuanza kusikilizwa kesi dhidi ya washukiwa wanne wa machafuko yalotokana na uchaguzi uliopita nchini Kenya kama tarehe 10 na 11 Aprili mwaka 2013.

Sauti -

Sudan Kusini yaadhimisha Mwaka Mmoja tangu kupata Uhuru

Sudan Kusini yaadhimisha Mwaka Mmoja tangu kupata Uhuru

Kupitia usaidizi kutoka kwa shirika la maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP mengi kati ya majimbo kumi nchini Sudan Kusini yameboresha ukusanyaji wa ushuru kwa asilimia 100 baada ya kubuniwa idara za ukusanyaji wa ushuru.

Sauti -