Women, children, population

WFP yaanzisha mpango wa vocha kusaidia Wazimbabwe wenye HIV

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limeanzisha mpango wa ubunifu nchini Zimbabwe utakaosaidia kuwalisha walio katika shida na wengi wao ni wale wanaoishi na virusi vya HIV.

Sauti -

WFP yaanzisha mpango wa vocha kusaidia Wazimbabwe wenye HIV

Zakir Hussain asema muziki wa Jazz ni ukombozi

Wasanii kadhaa tayari wameanza kukusanyika kwenye ukumbi wa Baraza Kuu kujiandaa na onyesho la kimataifa na mziki wa jazz uliopangwa kufanyika April 30.

Sauti -

Zakir Hussain asema muziki wa Jazz ni ukombozi

Ban aitaka India kuboresha huduma za afya kwa wanawake na watoto

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameitolea mwito India kuchukua nafasi ya usoni juu ya uboreshaji wa huduma za afya kwa makundi ya wanawake na watoto, akisisitiza kuwa kuleta ufumbuzi wa pamoja kwenye maeneo hayo ni hatua muhimu kwa mataifa ya kusin mwa Asia.

Sauti -

Ban aitaka India kuboresha huduma za afya kwa wanawake na watoto

UM wataka kila mfanyakazi kuhakikishiwa usalama kazini

Umoja wa Mataifa umesema kuwa usalama wa wafanyikazi ni lazima uwe sehemu ya mabadiliko kwenye uchumi uzioathiri mazingira huku ukionya kuwa iwapo ajira mpya zitachangia katika kutunza mazingira na kubuni nafasi mpya za ajira pia zinaweza kuwa na athari kwa wanaozifanya.

Sauti -

UM wataka kila mfanyakazi kuhakikishiwa usalama kazini