Women, children, population

Mkuu wa UNIFIL na maafisa wa Israel na Lebanon wakutana

Mkuu wa mpango wa Umoja wa mataifa wa kulinda amani nchini Lebanon UNIFIL na maafisa wa kijeshi wa Lebanon na Israel wamekutana kujadili masula muhimu kwa ajili ya utekelezaji wa azimio la Baraza la Usalama ambalo lilimaliza vita vya mwaka 2006 kati ya Israel na kundi la Lebanon lijulikanalo ka
Sauti -

Mkuu wa UNIFIL na maafisa wa Israel na Lebanon wakutana

ILO na serikali ya Australia waanzisha mradi wa dola millioni 31 Timor-Leste

Shirika la kazi duniani ILO na serikali ya Australia wametangaza mradi mpya utakaogharimu dola milioni 31 kusaidia kuboresha usafiri wa ba

Sauti -

ILO na serikali ya Australia waanzisha mradi wa dola millioni 31 Timor-Leste

UNAMA yaongezwa muda wa kuhudumu nchini Afghanistan

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan UNAMA umesema kuwa kuongezwa kwa muda wake wa kuhudumu nchini Afghanistan kunatoa fursa ya kushirikiano na serikali ili kuleta amani, maendeleo na malengo mengine nchini humo.

Sauti -

UNAMA yaongezwa muda wa kuhudumu nchini Afghanistan

Kijana mkimbizi wa Kisomali ana ndoto ya kuwa nyota wa hip hop

Saber ni kijana mkimbizi kutoka Somalia mwenye umri wa miaka 17 ambaye ana kipawa cha uimbaji wa nyimbo mtindo wa hip hop.

Hata hivyo Saber anasema kuwa bila ya kuungwa mkono na familia yake ndoto yake haitafanikiwa.

Sauti -

Kijana mkimbizi wa Kisomali ana ndoto ya kuwa nyota wa hip hop

UNAIDS na NEPAD watia sahihi makubaliano ya kupambana na ugonjwa wa Ukimwi barani Afrika

Shirika la kupambana na ugonjwa wa ukimwi la Umoja wa Mataifa UNAIDS kwa ushirikiano na shirika la maendeleo la bara Afrika NEPAD wametia sahihi makubaliano ya kutaka   kuchukuliwa hatua zaidi katika kupambana na ugonjwa wa ukimwi barani Afrika.

Sauti -

UNAIDS na NEPAD watia sahihi makubaliano ya kupambana na ugonjwa wa Ukimwi barani Afrika