Women, children, population

Changamoto zaingoja serikali mpya nchini Libya

Mjumbe maalum wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya Ian Martin anasema kuwa hata baada ya kuwepo ghasia nchini humo suala lililo wazi ni kwamba watu wa Libya wana nia ya kusonga mbele kupata demkokrasia.  

Sauti -

Changamoto zaingoja serikali mpya nchini Libya

Amos asikitika kwa kutozuru Syria

Mratibu wa huduma za dharura za misaada kwenye Umoja wa Mataifa Valerie Amos ameelezea sikitiko lake kutokana na sababu kwamba hajaitembelea Syria mwenyewe ili kujionea hali ya kibinadamu na kufanya mikutano na maafisa wa ngazi za juu wa nchi hiyo.

Sauti -

Amos asikitika kwa kutozuru Syria

Mshauri wa UM wa michezo aunga mkono mpango wa kuruhusu hijab salama katika soko

Katika hatua ya karibuni ya maendeleo katika mchezo wa kandanda kuhusu suala la wachezaji wanawake kuvaa hijab wakati wakiwa kiwanjani , mshauri maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu michezo kwa ajili ya maendeleo ya amani Wilfried Lemke amesema anaunga mkono hatua iliyopendekezwa na makamu wa raia

Sauti -

Mshauri wa UM wa michezo aunga mkono mpango wa kuruhusu hijab salama katika soko

Ban awataka watu wa Timor-Leste Kufanya uchaguzi kwa amani

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amewataka watu wa Timor-Leste kufanya uchaguzi kwa amani na utulivu. Ban amesema uchaguzi ujao wa Rais ni hatua muhimu kwa taifa hilo katika kudumisha demokrasia.

Sauti -

Ban awataka watu wa Timor-Leste Kufanya uchaguzi kwa amani

Tovuti ni chombo muhimu kwa watu kupata taarifa:Pillay

Tovuti imekuwa ni nyenzo muhimu kwa watu kupata taarifa zaidi ya zile zinazotayarishwa na kusambazwa na vyombo vya asili vya habari. Hayo yamesemwa na kamishina mkuu wa haki za binadamu Navi Pillay katika mjadala wa haki ya uhru wa kujieleza katika tovuti uliofanyika Jumatano mjini Geneva.

Sauti -

Tovuti ni chombo muhimu kwa watu kupata taarifa:Pillay