Women, children, population

Ofisi ya haki za binadamu ya UM yataka polisi waliotenda uovu nchini Haiti kufikishwa mbele ya sheria

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imeutaka utawala nchini Haiti kuchunguza na kuwafikisha mbele ya sheria polisi wanaokisiwa kuendesha mauaji na mateso baada ya ripoti mbili kutoka kwa Umoja wa Mataifa kudai kuwa matumuzi ya nguvu kutoka kwa polisi huenda yalisababisha vifo vya watu t

Sauti -

Ofisi ya haki za binadamu ya UM yataka polisi waliotenda uovu nchini Haiti kufikishwa mbele ya sheria

Watu zaidi wauawa na dharuba nchini Ufilipino

Shirika la afya duniani WHO linasema kuwa idadi ya vifo vilivyosababishwa na dhoruba kali nchini Ufilipino kwa sasa umefikia watu 976 huku wengine 46 hawajuli

Sauti -

Watu zaidi wauawa na dharuba nchini Ufilipino

UM waelezea masikitiko yake kufuatia China kuendelea kuwatia korokoroni watetezi wa haki za binadamu

Umoja wa Mataifa umeelezea masikitiko yake kufuatia hatua ya mamlaka ya China kumtia korokoroni mwanaharakati wa haki za binadamu Chen Wie ambao kwa miaka mingi amekuwa mstari wa mbele kupigania usawa na haki za watu dhidi ya utawala wa China.

Sauti -

UM waelezea masikitiko yake kufuatia China kuendelea kuwatia korokoroni watetezi wa haki za binadamu

UM wataka Sudan Kusini kutoa ulinzi wa kutosha kwa wananchi wa Jonglei ambao wanakabiliwa na tisho la kushambuliwa

Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Sudan Kusini kuchukua hatua ya haraka ili kuwalinda wananchi wa jimbo la Jonglei kufuatia njama zinazopangwa na makundi ya vijana wanaopanga kuwashambulia wananchi hao ikiwa sehemu ya magomvi yao ya mara kwa mara.

Sauti -

UM wataka Sudan Kusini kutoa ulinzi wa kutosha kwa wananchi wa Jonglei ambao wanakabiliwa na tisho la kushambuliwa