Women, children, population

Ugonjwa wa kipindupindu ulioikumba DRC sasa waelekea ukingoni

Ugonjwa wa kipindupindu ambao ulitapakaa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kwa sasa unaripotiwa kuanza kutoweka lakini hata hivyo kunasalia visa vichache vya maambukizi ya ugonjwa huo.

Sauti -

Ugonjwa wa kipindupindu ulioikumba DRC sasa waelekea ukingoni

UNHCR yaipongeza Georgia kuhusu mustakabala wa watu wasio na makwao

Shirika la Umoja wa Mataifa linalojihusisha na wakimbizi limekaribisha hatua ya serikali ya Georgea iliyoridhia mkataba wa kimataifa wenye nia ya kuwalinda na kuwatetea mamililoni ya watu walioko mtawanyikoni ambao hawana uhalisia wa nyumbani.

Sauti -

UNHCR yaipongeza Georgia kuhusu mustakabala wa watu wasio na makwao

UM walaani vitendo vya uvunjivu wa haki za binadamu Ivory Coast

Ripoti mbalimbali zimesema kuwepo kwa ongezeko kubwa la uvunjifu wa haki za binadamu nchini Ivory Coast, Umoja wa Mataifa umelaani hatua hiyo ambayo inadaiwa kufanywa na vikisi vya waasi na imetaka ikomeshwe mara moja.

Sauti -

UM walaani vitendo vya uvunjivu wa haki za binadamu Ivory Coast

Kuna fursa nyingi mwaka wa 2012:UNESCO

Shirika la elimu, sayansi na utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO linasema kuwa mwaka 2012 utakuwa ni mwaka wa fursa nyingi.

Sauti -

Kuna fursa nyingi mwaka wa 2012:UNESCO

Wanawake wajawazito waliothiriwa na dhoruba wapata usaidizi nchini Ufilipino

Mfuko wa Umoja wa Mataifa kuhusu idadi ya watu UNFPA unataoa usaidizi kwa wanawake wajazito walioathiriwa na dhoruba iliyoikumba ufilipino majuma mawili

Sauti -

Wanawake wajawazito waliothiriwa na dhoruba wapata usaidizi nchini Ufilipino