Women, children, population

Operesheni za Kenya na serikali ya mpito dhidi ya Al-Shabaab zikikamilika mambo yatakuwa shwari:Mahiga

Mwakilishi maalmu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia balozi Augustine Mahiga amesema ana matumaini operesheni za pamoja za kijeshi za serikali ya mpito na Kenya dhidi ya wanamgambo wa Al-Shabaab zikikamilika hali ya amani itakuwa shwari Somalia.

Sauti -

Operesheni za Kenya na serikali ya mpito dhidi ya Al-Shabaab zikikamilika mambo yatakuwa shwari:Mahiga

Wafanyakazi wa UNHCR wauawa katika shambulio Afghanistan

Leo asubuhi shambulio la kupangwa lililohusisha watu wa kujitoa muhanga kwenye mji wa Kandahar nchini Afghanistan limeuwa wafanyakazi watatu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -

Wafanyakazi wa UNHCR wauawa katika shambulio Afghanistan

Ushirika katika kilimo ni muhimu kwa kupunguza umaskini na njaa:FAO, IFAD WFP

Wakulima wadogowadogo wanafaidika sana kwa ushirika wa kilimo ikiwemo uwezo wa kushawishi masuala ya bei na kushirikiana rasilimali ambazo zinasaidia kupunguza umasikini na kuleta usalama wa chakula kwa mamilioni ya watu limesema shirika la chakula na kilimo

Sauti -

Ushirika katika kilimo ni muhimu kwa kupunguza umaskini na njaa:FAO, IFAD WFP

Nchini Somalia hali bado ni tete lakini matumaini ya amani bado yapo:Mahiga

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa mataifa nchini Somalia Balozi Augustine Mahiga amesema hali ya usalama nchini Somalia bado ni tete lakini kuna matumaini kuwa punde mambo yataanza kuwa shwari.

Sauti -

Nchini Somalia hali bado ni tete lakini matumaini ya amani bado yapo:Mahiga

Dunia inaelekea mtafaruku mkubwa wa ajira:ILO

Tathimini iliyotolewa na shirika la kazi duniani ILO katika mkesha wa kuanza kwa mkutano wa viongozi wa G-20 inasema uchumi wa dunia uko k

Sauti -

Dunia inaelekea mtafaruku mkubwa wa ajira:ILO