Winnie Byanyuma

UNAIDS yasema Pengo la usawa ndio mtihani wetu katika vita dhidi ya UKIMWI:UNAIDS

Jumla watu milioni 24.6 walikuwa wanapata matibabu dhidi ya virusi vya UKIMWI, VVU,  hadi Juni mwaka 2019 kwa mujibu wa ripoti mpya ya  ya shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya UKIMWI, UNAIDS iliyiozindulwa hii leo nchini Kenya.

Sauti -
2'19"

26 NOVEMBA 2019

Pengo la usawa ndio mtihani wetu katika vita dhidi ya UKIMWI lasema shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na masuala ya UKIMWI, UNAIDS.  watoto na barubari zaidi ya 300 hufa kila siku kutokana na UKIMWI imesema ripoti ya

Sauti -
12'26"

Pengo la usawa ndio mtihani wetu katika vita dhidi ya UKIMWI:UNAIDS

Jumla watu milioni 24.6 walikuwa wanapata matibabu dhidi ya virusi vya UKIMWI, VVU,  hadi Juni mwaka 2019 kwa mujibu wa ripoti mpya ya  ya shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya UKIMWI, UNAIDS iliyiozindulwa hii leo nchini Kenya. Hata hiyo ripoti hiyo inasema kuwa watu milioni 32 wamepoteza maisha kote dunia tangu ugonjwa huo ugunduliwe.