WHO

Watoto wapatao 400,000 wakabiliwa na utapiamlo kasai DRC: UNICEF

Kampeni ya chanjo kwa watoto wa Rohingya yaanza :UNICEF/WHO

Serikali ya Bangladeshi kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, shirika la afya duniani

Sauti -

Kampeni ya chanjo kwa watoto wa Rohingya yaanza :UNICEF/WHO

Watu wa milimani kusaidiwa kukabili njaa, mabadiliko ya tabia nchi na uhamiaji

Serikali na asasi za kiraia zimeamua kushika usukani katika kuwasidia watu waishio milimani kukabiliana vyema na mabadiliko ya tabia nchi, njaa na uhamiaji  kwa mujibu wa ripoti ya shirika la chakula na kilimo

Sauti -

Watu wa milimani kusaidiwa kukabili njaa, mabadiliko ya tabia nchi na uhamiaji

CERF yavunja rekodi, wahisani 36 waahidi dola milioni 383 kwa 2018:

Mfuko wa dharura wa Umoja wa Mataifa CERF umevunja rekodi ya mapato kwa mwaka 2017 wakati wahisani walipotoa ahadi zaidi za msaada wa fedha kwa mwaka 2018.

Sauti -

Uganda yadhibiti mlipuko wa homa ya Marburg

Shirika la Afya Duniani  WHO, limesema, Uganda imefanikiwa kudhibiti mlipuko wa homa ya marburg wiki chache tu baada ya ugonjwa huo kuzuka.

Sauti -

Uganda yadhibiti mlipuko wa homa ya Marburg

Ugonjwa wa kusahau kuongezeka mara 3 zaidi

Kadri idadi ya wazee inavyoongezeka duniani, ndivyo vivyo hivyo idadi ya watu wanaougua ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu au kusahau inaongezeka.

Sauti -

Ugonjwa wa kusahau kuongezeka mara 3 zaidi