WHO

Kujifungua kwa njia ya upasuaji kwashika kasi: WHO yaonya

Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO inasema kiwango cha wanawake kujifungua kwa njia ya upasuaji kinaongezeka duniani kwa idadi

Sauti -
3'29"

Idadi ya wanaojifungua kwa njia ya upasuaji usio wa lazima inaongezeka:WHO 

Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO inasema kiwango cha wanawake kujifungua kwa njia ya upasuaji kinaongezeka duniani kwa idadi inayoashiria taratibu zisizo za lazima za kiafya na zinazoweza kuletya madhara. Flora nducha amefuatilia ripoti hiyo na kuandaa taarifa hii 

  WHO yahaha kukidhi mahitaji ya afya kwa Wapalestina 200,000

Wakati makubaliano ya usitishaji uhasama katika eneo linalokaliwa la Wapalestina yanaendelea kutekelezwa, shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO linaongeza juhudi zake za kutoa msaada wa afya kwa karibu watu 200,000 wanaohitaji haraka msaada huo katika eneo hilo. 

Tusipolinda afya kila kitu kipo hatarini: WHO

Baraza la Afya duniani, limehitimisha kikao chake cha 74 kwa kupitisha azimio la kihistoria la kuimarisha utayari wa uwajibikaji wa shirika la afya ulimwenguni -W

Sauti -
2'39"

01 JUNI 2021

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Leah Mushi anakuletea

-Ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini Burundi leo imefunga mlango rasmi baada ya hali ya amani na utulivu kurejea nchini humo utasiki taarifa  kutoka kwa washirika wetu Mashariki TV

Sauti -
13'39"

Afrika inahitaji haraka dozi milioni 20 kwa ajili ya chanjo ya marudio ya COVID-19:WHO 

Afrika inahitaji angalau dozi milioni 20 za chanjo ya Oxford-AstraZeneca katika wiki sita zijazo ili kuwapa dozi za pili wote ambao walipata chanjo ya kwanza ndani ya muda wa wiki 8 - 12 kati ya kipimo kilichopendekezwa na shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO. 

Muuguzi Mildred Okemo: Hospitali bila wauguzi ni sawa na gari bila injini

Ikiwa leo ni siku ya wauguzi duniani, shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO linasema, licha ya jukumu muhimu wanalofanya wauguzi  katika huduma ya afya, kun

Sauti -
1'57"

12 Mei 2021

Hali ya njaa Madagascar ni tete! UN na serikali wataka msaada wa haraka.

Hospitali bila wauguzi ni sawa na gari bila injini, anasema Muuguzi Mildred Okemo. 

Na mashirika ya UN yapambana na utapiamlo shuleni Guatemala.

Sauti -
12'37"

COVID-19 yakatili maisha ya watu milioni 3, kwa kushikamana tutalishinda janga hili: Guterres 

Idadi ya vifo milioni 3 vilivyosababishwa na janga la virusi vya corona au COVID-19 imefikiwa leo Jumamosi, n ani hatua mbaya sana kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ambaye ameomba mshikamano ili kulishinda janga hili la COVID-19

Uhaba wa kimataifa wa ubunifu wa dawa za viauvijasumu wachochea kusambaa kwa usugu wa dawa:WHO

Ulimwengu bado unashindwa kutengeneza matibabu mapya ya kupambana na viuatilifu ya ambayo yanahitajika sana, licha ya kuongezeka kwa tishio kubwa na la haraka la usugu wa za vijiuvijasumu au antibiotics, kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO, iliyotolewa leo .