WHO

5 Septemba 2018

Katika Jarida la Umoja wa Mataifa leo Siraj Kalyango anaangazia

Tahadhari ya WHO kuhusu kutofanya mazoezi ya viungo na athari zake kiafya

Sauti -
12'29"

Watu wazima zaidi ya bilioni 1 hawashughulishi viungo vya mwili:WHO

Zaidi ya watu wazima bilioni 1.4 duniani walibainika kutofanya mazoezi ya kutosha ya viungo vya mwili mwaka 2016 na kuwaweka katika hatari kubwa ya maradhi, imeonya ripoti ya shirika la afya duniani, WHO iliyochapishwa leo na jarida la afya The Lancent.