WHO

Hakuna bidhaa duniani yenye thamani zaidi ya afya:WHO

Wakati dunia hivi sasa ikikabiliwa na changamoto chungu nzima zinazoongeza mzigo katika huduma za afya, iwe vita, majanga ya asili, mabadiliko ya tabia nchi na hata milipuko ya magonjwa hakuna kilicho muhimu kama kuwa na afya njema.

Chanjo dhidi ya Ebola yaanza kutolewa Mbandaka

Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola imeanza kutolewa hii leo kwenye jimbo la Equateur nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.

Hakuna haja ya kutangaza udharura wa kiafya duniani kutokana na Ebola DRC

Hii leo WHO ilikuwa na kikao cha kamati ya dharura kuangazia iwapo mlipuko wa Ebola  huko DRC unasababisha udharura katika afya ya umma ulimwenguni au la. Wataalamu wamekutana na kumshauri Mkurugenzi Mkuu naye ametangaza uamuzi wake.

UNICEF yachagiza mamia ya wahudumu kupambana na Ebola DRC

Katika hamasa ya kupambana na mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, leo shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICE, kwa ushirikiano na serikali na wadau, wanachagiza mamia ya wahudumu wa masuala ya kijamii kujiunga katika vita dhidi ya Ebola. John Kibego na taarifa kamili.

Wahudumu hao wanatakiwa kuelimisha jamii husuani watoto na familia jinsi gani ya kujilinda dhidi ya Ebola na pia watakuwa na jukumu kubwa la kuipasha habari jamii kuhusu kampeni ya chanjo ya Ebola iliyopangwa kuanza wiki ijayo.

 

Sauti -
1'31"

17 Mei 2018

Flora Nducha katika Jarida la habari hii leo anaangazia

1. Ripoti ya WHO kuhusu uhusiano baina ya utipwatipwa na uvutaji sigara

Sauti -
9'56"

Utipwatipwa na uvutaji sigara vina uhusiano

Utafiti mpya umebaini kuwa watu ambao kwao unene au utipwatipwa ni asili au jambo la kurithi kwenye familia zao wako hatarini zaidi kuwa wavutaji sigara, na wanaweza kuvuta sigara kwa kiwango kikubwa zaidi.  Grace Kaneiya na ripoti kamili.

Ebola yabainika mjini Mbandaka, WHO yaingiwa na hofu

Shirika la afya ulimwenguni WHO lina hofu kubwa hivi sasa baada  ya mgonjwa wa Ebola kubainika maeneo ya mjini huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.

Wataalamu walekea DRC kusaidia kudhibiti Ebola

Shirika la afya ulimwenguni WHO linapeleka timu ya wataalam 50 wa afya ya jamii nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ili kusaidia serikali kupambana na

Sauti -
2'3"

Mbinu rahisi na sahihi za uchunguzi wa magonjwa kuokoa maskini- WHO

Shirika la afya ulimwenguni WHO limechapisha orodha ya vipimo vya lazima vya kubainisha magonjwa kama njia mojawapo ya kuboresha uchunguzi wa magonjwa hayo na matibabu yake.