WHO

Mazingira duni ni 'mwiba' kwa afya, sasa hatua zachukuliwa

Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa yamekubaliana kuanzisha  mkakati maalum wa pamoja utakaosaidia kudhibiti athari za kiafya zinazosababishwa na mazingira duni. Grace Kaneiya na ripoti kamili.

Sauti -
1'24"

31 Mei 2018

Katika jarida hii leo, Assumpta Massoi anaangazia

Sauti -
11'4"

WHO na WMO kudhibiti athari za kiafya na hali ya hewa

Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa yamekubaliana kuanzisha  mkakati maalum wa pamoja utakaosaidia kudhibiti athari za kiafya zinazosababishwa na mazingira duni.

Matumizi ya tumbaku yamepungua lakini bado kuna hatari- WHO

Leo ni siku ya kupinga matumizi ya tumbaku duniani ambapo shirika la afya ulimwenguni, WHO linasema matumizi ya tumbaku yamepungua.Kupitia ripoti yake iliyotolewa leo, WHO inasema matumizi hayo yamepungua kutoka asilimia 27 mwaka 2000 hadi asilimia 20 mwaka 2015.

 

Sauti -
2'19"

Matumizi ya tumbaku yamepungua lakini bado kuna hatari- WHO

Leo ni siku ya kupinga matumizi ya tumbaku duniani ambapo shirika la afya ulimwenguni, WHO linasema matumizi ya tumbaku yamepungua.

Mkutano wa 71 wa Baraza Kuu la afya duniani wakunja jamvi

Mkutano  wa Baraza Kuu la afya duniani  uliokuwa unaendele mjini Geneva Uswisi umemalizika.

Juhudi za kukabiliana na Ebola DRC zinaendelea

Mashirika ya kimisaada   yanayoshughulika  na kukabiliana na mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC yanaomba msaada zaidi kuweza kufanikisha juhudi hizo.

Mkakati mpya wa WHO kuokoa watu milioni 29 ifikapo 2023

Wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la shirika la afya ulimwenguni, WHO wameridhia mpango mpya wa mkakati wa  miaka mitano wenye lengo la kusaidia kufanikisha ma

Sauti -
1'24"

Namkumbusha mama anawe mikono kabla ya kupika- Nenga

Jumuiya ya kimataifa na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC wanaimarisha juhudi za kudhibiti mlipuko wa Ebola kwenye jimbo la Equateur nchini humo.     

Mkakati mpya wa WHO kuokoa watu milioni 29 ifikapo 2023

Wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la shirika la afya ulimwenguni, WHO wameridhia mpango mpya wa mkakati wa  miaka mitano wenye lengo la kusaidia kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu SDGs.