WHO

Vita dhidi ya malaria imeenda kombo tuirejeshe msitarini:WHO

Kwa mara ya kwanza katika muongo mmoja uliopita hatua za kuelekea kutokomeza malaria zimekwaa kisiki na mafanikio yaliyopatikana yakishuhudiwa kubadili mwelekeo katika baadhi ya nchi kote duniani.

Sauti -
2'11"

Chanjo inaokoa na kuboresha maisha: WHO

Wiki ya chanjo duniani kwa mwaka 2018 imeng’oa nanga leo  Aprili 24 na itakamilika Aprili 30 .

Kuwekeza kwa afya ya Wasyria ni kuwekeza katika mustakhbali wao: WHO

Wakati jumuiya ya kimataifa ikikusanyika mjini Brussels Ubelgiji ili kuonyesha mshikamano na watu wa Syria na kusaka suluhu ya kisiasa ya vita nchini humo, shirika la afya ulimwenguni WHO, limetoa wito wa kuwekeza katika afya kunusuru maisha ya mamilioni ya watu nchini humo.

20 Aprili 2018

Jaridani leo pata habari zikiwemo: Afya kwa wote Afrika ni lazima ili kutimiza ajenda ya 2030;  Usalama waimarika Darfur, waliokimbia waanza kurejea; Teknolojia mpya imnufaishe binadamu na pia pata uchambuzi wa neno "Mtambuka".

Sauti -
11'37"

UNFPA yajipanga kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake ifikapo 2030

Mkutano wa kikanda ulioandaliwa na shirika la afya ulimwenguni WHO huko Coimbra Ureno, umeyakutanisha mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa na ya kibinadamu ili kujadili mikakati madhubuti kuhusu upatikanaji wa bima ya afya hususan kwa watu wasio na uwezo katika nchi masikini duniani.

12 Aprili 2018

Jaridani leo tunaangazia matokeo ya uchunguzi uliotekelezwa na OPCW kudhibitisha mashambulizi ya kemikali Douma nchini Syria. Na Mwendo kasi ndio adui mkuba wa uhai barabarani kwa mujibu wa shirika la afya ulimwenguni WHO, na je wajua kunyonyesha mtoto unapunguza maradhi na kuongeza IQ kwa mtoto na kupunguza chanzo cha ugonjwa wa saratani ya matiti kwa mama? Pia sikiliza makala ikiangazia huduma ya bima afya kwa bara la Afrika.

Sauti -
9'56"

Okoa mwanao kwa kumnyonyesha miaka 2 mfululizo- WHO

Mtoto anaponyonyeshwa miaka miwili mfululizo bila kupatiwa kimiminika chochote ataepusha gharama kubwa zinazotumika kutibu magonjwa kama vile kuhara, magonjwa ambayo husabaisha na matumizi ya maji yasiyo safi na salama katika kumwandalia maziwa mbadadala badala ya yale ya mama.

 

EYE kutokomeza homa ya manjano Afrika 2026

Sasa homa ya manjano imechosha bara la Afrika mkakati wa aina yake wazinduliwa huko Abuja, Nigeria.