wauguzi

Msaada waliotupatia UNFPA umetusaidia kuendeleza huduma za wakunga-Wakunga Tanzania

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya wauguzi na wakunga , Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la afya WHO umesema mchango wa wahudumu hao wa afya hauna kipimo hasa wakati huu ambao janga la virusi vya corona au COVID-19 linaitikisa dunia na wao wako msitari wa mbele kupambana nalo. Kaulimbiu ya mwaka huu ni "waunge mkono wauguzi na wakunga".

Wauguzi na wakunga huduma ya usafi iko mikononi mwenu:WHO

Katika kuadhimisha siku ya usafi wa mikono hii leo shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO linawachagiza watu kote duniani kuongeza juhudi za kuhakikisha usafi wa mikono katika vituo vya afya ili kuwalinda wahudumu wa afya na wagonjwa dhidi ya maambukizi. 

Haiti ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya vifo vya wakati wa kujifungua vya watoto na kina mama-UNFPA

Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu duniani UNFPA limesema hakuna mtoto wala mama anayestahili kupoteza maisha wakati wa kujifungua nchini Haiti

Sauti -
2'3"

Hakuna mtoto wala mama anayestahili kufa wakati wa kujifungua:UNFPA 

Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu duniani UNFPA limesema hakuna mtoto wala mama anayestahili kupoteza maisha wakati wa kujifungua nchini Haiti na ndio maana limeamua kulivalia njuga tatizo hilo. 

Kuna haja ya kuwekeza kuimarisha sekta ya wahudumu wa afya-WHO

Mlipuko wa virusi vya Corona COVID-19 unadhidhirisa haja ya kuimarisha sekta ya wahudumu wa afya kote duniani , kwa mujibu wa ripoti mpya ya “hali ya wauguzi duniani 2020.”Flora Nducha na taar

Sauti -
2'49"

Tunahitaji kuwekeza haraka kuziba pengo la wauguzi duniani:WHO

Mlipuko wa virusi vya Corona COVID-19 unadhidhirisa haja ya kuimarisha jopo la wahudumu wa afya kote duniani , kwa mujibu wa ripoti mpya ya “hali ya wauguzi duniani 2020.”

03 MACHI 2020

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Anold Kayanda anakuletea 

-Umoja wa Mataifana washirika wake leo wamezindua ombi la pamoja la kuchangisha dola milioni 877 ili kushughulikia janga la wakimbizi wa Rohingya na jamii zinazowahifadhi nchini Bangladesh.

Sauti -
11'13"

Pesa ni muhimu, lakini kwangu mimi, muhimu zaidi ni afya ya mtu- Francis Maina

Kijana Francis Maina ni mwanafunzi wa Chuo cha uuguzi cha St. Regina kilichoko maeneo ya magharibi mwa nchi ya Uganda.

Sauti -
3'33"

Jamii ya sasa wana imani zaidi na hospital kuliko wakunga wa jadi-Mkunga wa jadi

Kwa miaka mingi kabla ya ukuaji wa teknolojia na hata baada ya kuanzishwa hospitali za kisasa, jamii nyingi ziliendelea kuwatumia wakunga wa jadi kuwasaidia akina mama wajawazito kujifungua hususani kwa wale walikuwa mbali na huduma za kiafya.

Sauti -
6'5"

14 FEBRUARI 2020

Leo siku ya wapendanao Duniani katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa Anold Kayanda anakuletea

-Wahamiaji 11,500 walikwenda Yemen kila mwezi kutoka Pembe ya afrika mwaka jana limesema shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM

Sauti -
10'43"