Wau

Viongozi Sudan Kusini zingatieni amani

Hatutachoka kutafuta amani ya kudumu  katika taifa la Sudan Kusini na viongozi wa Afrika wamesema kuwa ni wakati sasa viongozi wa kisaisa nchini Sudan Kusini  wapige moyo konde na wabadili misimamo yao na pia  wawajibike kuhusu amani nchini wao.

Sauti -
1'19"

Viongozi Sudan Kusini pigeni moyo konde- UN

Hatutachoka kutafuta amani ya kudumu  katika taifa la Sudan Kusini, amesema Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J.Mohammed wakati wa ziara yake aliyoanza leo nchini humo yenye lengo la kukuza umuhimu wa wanawake katika kuzuia migogoro.

UNMISS yawasweka rumande  walinda amani 46 Sudan Kusini

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini (UNMISS) umewachukulia hatua ya kinidhamu askari walinda amani wa Umoja wa Mataifa 46 wanaotuhumiwa kujihusisha katika vitendo vya unyanyasaji wa kingono katika mji wa Wau Sudan kusini.