Mimi ni binadamu kama walivyo wengine:Mlemavu wa ngozi Lazarus
Lazarus Chigwandali, mlemavu wa ngozi kutoka Malawi ambaye sasa anatumia kipaji chake cha ameomba kuwepo kwa mfuko wa kujengea uwezo watu wenye ulemavu wa ngozi barani Afrika ili waweze kushiriki kwenye shughuli za kiuchumi na hatimaye kujiongezea kipato na kujikwamua kimaisha.